nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kamilisha sentensi zifuatazo kwa kutumia kiambishi sahihi cha upatanisho wa kisarufi:-
i.Ulinzi mkali
tahitajika wakati wa maonyesho ya ukulima.
ii. Marashi hayo
nanukia vizuri.
iii.Sukari
liyopo haibomoki
nawatosha nyote.
iv.Kucheza kwa vijana wetu
liwavutia watu wengi.
v.Pale ndipo
lipomwagwa takataka.
vi.Kule
nakolimwa
nahitaji kupandwa mbegu za mchicha.
vii.Mle
nakohamia
nataka kutakaswa.