nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua jibu sahihi kati ya yale uliyopewa kujaza pengo katika sentensi zifuatazo.
1. Uadilifu
nahimizwa shuleni. a).u b).i c).m
2. Maji
mechafuka sana. a).i b).zi c).ya
3. Theluji
nayeyuka. a).u b).i c).a
4.Kusoma
nakofurahisha kunafaa. a).i b).ku c).ya
5. Mahali
lipofagiliwa pa mkutano ni hapa. a).ku b).i c).pa
6. Mahali
nakotaka chakula cha msaada ni huku. a).ku b).mu c).pa
7. Mahali wanamosomea wanafunzi
napendeza. a).ku b).m c).pa