nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika kulingana na maagizo yaliyo kwenye mabano. Andika jibu lako kwenye nafasi uliyopewa.
1. Nyumba iliyojengwa imebomoka (katika hali ya ukubwa)
2. Mito ile imefurika (hali ya udogo)
3. Kikoba kile kilichopotea kimepatikana (hali ya kawaida)
4. Kidole kilichoumia kimetibiwa (hali ya ukubwa)
5. Maduka ya rejareja yaliyofunguliwa yana bidhaa nyingi (hali ya udogo)
6. Kiguo kilichoraruka kimeshonwa (hali ya kawaida)