Ngeli ya ki-vi

KI-VI; Ngeli hii hujumuisha nomino za vitu visivyo na uhai ambazo huchukua kiambishi ki cha upatanisho wa kisarufi katika umoja na vi katika wingi.

Cheti kilikabidhiwa aliyefuzu
Vyeti vilikabidhiwa waliofuzu
Kijia kilekinaelekea mtoni
Vijia vile vinaelekea mtoni