Ngeli ya u-i
Ngeli hii hujumuisha nomino za vitu mbalimbali kama vile mimea, baadhi ya viungo vya mwili, vifaa vinavyotokana na mimea, vitu vingine vya kimazingira kama vile mto, mlima, msitu na kadhalika ambavyo viambishi vyake vya upatanisho wa kisarufi katika sentensi ni U katika umoja na I katika wingi.
![]() | |
![]() | |
Mwembe umezaa matunda mengi msimu huu![]() | |
Miembe imezaa matunda mengi misimu hii ![]() | |
Mguu wakeunakandwa kwa dawa mjarabu![]() | |
Mguu wake inakandwa dawa mjarabu![]() |