Ngeli ya li-ya

Ngeli hii hujumuisha nomino zinazorejelea baadhi ya sehemu za miti na mimea, baadhi ya viungo vya mwili, nomino zinazotokana na vitenzi na kadhalika.

Jicho lake linachunguzwa na tabibu
Macho yake yanachunguzwa na tabibu
Tangazo hili liliwekwa tarashani juma lililopita
Mangazo haya yaliwekwa tarashani majuma yaliyopita.