nyuma
jaribu tena
hakikisha
Kamilisha sentensi zifuatazo kwa kujaza viambishi awali vinavyofaa.Andika jibu lako kwenye nafasi uliyopewa.
1. Mwanafunzi
lipongezwa
lipofaulu katika mahojiano na wazazi wake.
2. Wanafunzi
lipongezwa
lipofaulu katika mahojiano na wazazi wao.
3. Kifurushi
lichoibwa
mepatikana.
4. Vifurushi
livyoibiwa
mepatikana.
5. Msitu
nafaa
hifadhiwe.
6. Msitu
nafaa
hifadhiwe.
7. Jino
lilooza
mengolewa.
8. meno
liyooza
mengolewa.