Ngeli ya u-ya

Ngeli hii hujumuisha nomino zinazorejelea mambo tusiyoweza kuyaona lakini tunaona matokeo ya mambo haya. Nomino hizi ni kama vile ugonjwa, ubaya, ukubwa na kadhalika ambazo huchukua kiambishi cha upatanisho U katika umoja na Ya katika wingi..

Ugonjwa aliougua umemmaliza si haba
Magonjwa waliougua yamewamaliza si haba