Ngeli ya u-zi

Ngeli hii hujumuisha kundi la nomino ambazo huchukua kiambishi cha upatanisho U katika umoja na Zi katika wingi.

Uzi unafuma sweta.
Nyuzi zinafuma sweta.
Uta ulitumika katika mashindano ya kulenga shabaha ya wanajeshi
Nyuta zilitumika katika mashindano ya kulenga shabaha ya wanajeshi.