Ngeli ya i-zi

Ngeli hii aghalabu hujumuisha takriban nomino zote za asili ya kukopwa zinazochukua kiambishi cha upatanisho wa kisarufi i katika umoja naZi katika wingi.

Meza imejaa vitabu.
Meza zimejaa vitabu.
Nyumba ya mtumishi wa serikali ijengwa mtaani hapa
Nyumba za watumishi wa serikali zinajengwa mtaani hapa.