|
Chagua kiambishi mwafaka ili kujaza pengo:-
1. Serikali itakabiliana vilivyo na ugonjwa naoua mifugo(a,i,u) |
2. Serikali zitakabiliana vilivyo na magonjwa nayoua mifugo(zi,ya,i) |
3.Nyumba (umoja) kijengwa vizuri haibomoki(a,i,zi). |
4.Nyumba (wingi) kijengwa vizuri hazibomoki(zi,wa,ya). |
5. Ulimi nawatia wengi matatani(i,u,zi) |
6. Ndimi nawatia wengi matatani(zi,ya,i) |
|