Ngeli ya u
Ngeli hii hujumuisha nomino zinazorejelea vitu visivyoweza kuhesabika kama vile wema, ujinga, uji, udongo. Kwa kuwa vitu hivi haviwezi kuhesabika, kiambishi cha upatanisho wa kisarufi huwa U.