Sentensi zifuatazo zinahusu kitenzi katika kauli ya kutenda katika hali zilizotajwa. Bainisha hali hizo na sentensi hizi.
1. Kamau aliruka kamba ya kuni    
2. Mbuzi waliruka uwanjani    
3.Mlinda lango aliurukia mpira na kuudaka    
4.Mtoto alimrukia Rono aliyekuwa ameumia