nyuma
jaribu tena
hakikisha
Akifisha sentensi zifuatazo kwa Usahihi.Andika jibu lako kwenye nafasi uliyopewa.
1. nairobi ni mji mkuu wa kenya
2. je umewaona asha na korir
3. walipowasili walikula githeri kwa chai ya mkandaa
4. mama alipokwenda sokoni alinunua mayai viazi pilipili na samaki