Akifisha sentensi zifuatazo kwa kutumia nukta pacha/ koloni ipasavyo. Andika alama sahihi kwenye nafasi uliyopewa.
I. Ukanda wa Afrika Mashariki na eneo la maziwa makuu linajumuisha nchi nyingi miongoni mwake Kenya, Uganda, Tanzania, Sudan, Somalia, Rwanda, Burundi na Ethiopia.