Akifisha sentensi zifuatazo kwa kutumia parandesi/mabano ipasavyo.Andika alama sahihi kwenye nafasi uliyopewa
1. Mwalimu mkufunzi amekuita majilisini.
         
2. Simiyu: akimtazama kwa hasira. Umetoka wapi usiku huu?
3. m n ng' na ny ni sauti zinazoitwa ving'ong'o katika Kiswahili.