Akifisha sentensi zifuatazo kwa kutumia alama hisi ipasavyo.Andika alama sahihi kwenye nafasi uliyopewa.
1. ala kumbe unaenda ulaya
         
2. akina mama hoyee
3. salale sikuamini ungeweza kukinyakua hicho kiti
4. lo usimwone samba kanyeshewa ukadhani paka
5. Msalie Mtume mwonee huruma huyo mtoto yatima