Onyesha ni kweli au si kweli kuhusu sentensi zifuatazo.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

1. Mashairi huburudisha.
2. Shairi huelimisha jamii.
3. Mashairi hupotosha jamii
4. Asili ya mashairi si nyimbo.