Jibu maswali yafuatayo kwa kuchagua jibu lililo sahihi kutoka kwenye mabano:-
1. Shairi hili lina beti ngapi?(moja,nne,tano)
    
2. Vina vya mshororo wa mwisho katika ubeti wa pili ni vipi?(a,ma,ka,li,to,a)    
3. mshororo wa mwisho katika shairi hili una mizani mingapi?(kumi na tatu,nane,kumi na sita)