Onyesha ni kweli au si kweli kuhusu sentensi zifuatazo.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

1. Shairi hili lina kibwagizo.
2. Kudhulumiwa kwa watoto kunajitokeza katika shairi.
3. Hali ya umaskini haijashughulikiwa kamwe katika shairi hili.
4. Kila ubeti katika shairi hili una mishororo mine.
5. Vina vyote katika shairi hili vinafanana.