Kutokana na mifano ya tahadhari uliyopewa, jibu maswali yafuatayo kwa kusema kama ni Kweli au Si kweli.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

1. Lugha ya tahadhari ni sahihi.
2. Onyo / ilani huandikwa kwa herufi kubwa na wino mzito.
3. Mara nyingi ilani haziambatani na mchoro.
4. Ilani / onyo hazieleweki kwa urahisi.
5. Katika tahadhari za hatari, mchoro ya kuogofya hutumika.