Kutokana na mifano ya tahadhari uliyopewa, jibu maswali yafuatayo kwa kusema kama ni Kweli au Si kweli.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

a) Hufahamisha shughuli za sherehe
b) Haibainishi mfuatano wa shughuli
c) Haionyeshi mgawanyiko wa muda.
d) Hufahamisha wanaopaswa kutenda majukumu fulani maalumu.
e)Huwawezesha wahusika kujiandaa ipasavyo.
f)Haijulishi,kwa jumla,kiini cha sherehe.
g)Huhakikisha mtiririko mzuri wa shughuli na matumizi bora ya muda .