Wanafunzi kuketi ukumbini
Wazazi kufika
Maombi ya kufungua sherehe
Matumbuizo
Hotuba ya mwalimu mkuu
Hotuba ya mwenyekiti, jumuiya ya wazazi na walimu
Hotuba ya mwenyekiti, halmashauri ya shule
Hotuba ya mgeni wa heshima
Kutuzwa kwa zawadi
Maombi ya kufunga mkutano