Taja kama ni kweli au la.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

a) Mhutubi anapaswa kuchekacheka anapohutubu
b) Ukakamavu ni sifa moja ya mhutubi mzuri
c) Mhutubi ana uhuru wa kutumia lugha atakavyo
d) Hotuba lazima iwe ndefu
e) Hotuba nzuri huwa na ujumbemaalumu