Andika upya sentensi zifuatazo ili ziwe na mantiki.
a) Abdul alibeba punda la noti akanunua bunda.
         
b) Papa anapenda kuvua baba baharini.
c) Chuma hili nitanunua juma ili nikajenge ua.
d) Shombo kilichopikiwa samaki hakiachi kunuka chombo