Sahihisha vitanza ndimi vifuatavyo ili viwe na mantiki.
a) Chanja kuni kwa choka na ukishoka uwashe
         
b) Makali alinikaripia kwa ugali kwa kutombakishia ukali.
c) Mpwa wa mbwa wangu ni mkubwa.
d) Alisabuni zabuni mnadani
e) Alizidiwa na jaa akapata chakula kimenjaa katika njaa