nyuma
jaribu tena
hakikisha
Chagua jibu sahihi katika mabano ili kujaliza pengo
1.Haya ni mahojiano kati ya nani na nani?
(polisi na mshukiwa, mwalimu na mshukiwa,polisi na mwizi)
2.Mahojiano haya yanatokea wapi?
(jela,stesheni ya polisi,mahakamani)
3.Mahojiano haya yanahusu nini?
(ajira ya mtoto, kupotea kwa mtoto, masomo ya mtoto)
4.Mtoto hudhulumiwa kwa njia gani nyingine?
(kupelekwa shuleni, kubakwa, kunyimwa rununuo)