Jibu maswali yafuatayo kwa kurejelea mahojiano kati ya mwandishi wa habari na mwanariadha.Andika jibu sahihi kutokana na orodha ifuatayo.
(Hitimisho, kufahamiana, masomo ya Chuo Kikuu, majibizano,Ufanisi wa mwanariadha)
1. Ni yepi yanajitokeza katika utangulizi?
2. Mwandishi anamdadisi mwanariadha kuhusu nini?
3. Mahojiano haya yana muundo wa
4. Mbali na riadha,mwanariadha huyu ana mipango ipi maishani?
5. Shukrani na maagano yametokea katika hatua ipi ya mahojiano?