Jaza nafasi zilizoachwa kwa kuchagua jibu sahihi katika mabano.
i. Mazungumzo haya yanatokea wapi? (dukani, benki,posta)
ii. Mazungumzo haya ni kati ya (mteja na mhudumu,abiria na utingo, kachero nampelelezi)
iii. Mazungumzo yanahusu nini? (usafiri,mawasiliano,uhalifu)
iv.
na
ni shughuli mbili zilizohusishwa.
(uchukuzi na huduma, uuzaji na ununuzi,upakiaji na upakuaji)
v. Huduma zifuatazo hupatikana katika posta (uuzaji wa stempu na ununuzi wa hisa, utoaji wa pesa na ukataji wa tiketi za usafiri,ulipaji wa karo na uuzaji wa vitabu)