Kwa kurejelea mazungumzo uliyosoma, jaza nafasi zilizoachwa.
a) Mazungumzo haya yanatokea wapi?     
(kituo cha basi, shuleni, sokoni)
         
b) Taja wahusika katika mazungumzo haya     (mzazi na mtoto,mwanafunzi na mwalimu,mwalimu na mwalimu)
         
c) Shughuli inayojitokeza katika sehemu ya kwanza ya mazungumzo ni    (utangulizi, maamkizi, maagano)
         
d) Taja tamathali mbili za usemi zilizotumika katika mazungumzo haya     
na
  
(nidaa na mdokezo, nidaa na tashihisi, balagha na nidaa)          
e) Andika kiakifishi kinachotofautisha mazungumzo na hotuba    (nukta pacha, nukta nusu, parandesi)