Chagua la au kweli kwenye sentensi zifuatazo.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

a)Lugha inayotumika katika mazungumzo haitegemei muktadha
b)Mazungumzo huandamana na hisia
c)Mazungumzo hayachukui muundo wa tamthilia
d)Mazungumzo huwa na sehemu tatu kuu: Utangulizi, mwili, na hitimisho.
e)Wahusika katika mazungumzo huongea bila kukatizana kauli