Jaza pengo kwa jibu sahihi.
a)    ni nyimbo zinazoimbwa wakati wa matanga.
(bembelezi,nyiso,mbolezi)
         
b) Nyimbo za chekechea huimbwa na     (chiriku,yaya,watoto)
         
c)Nyimbo za kizalendo huhimiza    (urafiki,umoja,uhasamao)
         
d)    ni nyimbo za jandoni.  
(nyiso,vave,mbolezi)          
e) Nyimbo za kumsifu Mungu ni    (za wawe,za kidini,za kikanisa)