a) Wimbo huo una beti ngapi?
(tano, tatu, mbili)
b) 'Nyamaa mama nyamaa' Hii ni tamathali gani ya usemi? (taswira,balagha, takriri)
c) Wimbo huu unazungumzia (lishe bora, malezi, nidhamu)
d) Ni nani huimba wimbo wa aina hii?
(mlezi, mwalimu, mtoto)
e) Wimbo huu una umuhimu gani (kutuliza, kufariji,kuburudisha)