Jibu maswali yafuatayo kwa kujaza pengo kutoka kwa orodha uliyopewa. (kuburudisha, kujasirisha, kizalendo, husifiwa, hukashifiwa)
a) Nyiso huwa na umuhimu wa    
         
b) Nyimbo za    huleta umoja.
         
c) Mojawapo wa dhima za nyimbo ni    
         
d) Matendo maovu     na nyimbo katika jamii