Jaza nomino zifaazo katika nafasi zilizoachwa. ( kuimba, hasira, Mombasa, mkungu , marashi, samaki
a)Alipandwa na    alipochafuliwa nguo yake.
         
b)    aliyevuliwa ni mkubwa.
         
c)Umejirashia    gani?
         
d)     kwake kulitutumbuiza.
         
e)Mama alienda sokoni akaja na    wa ndizi.