Jaza mapengo kwa kutumia nomino mwafaka kutoka kwenye orodha uliyopewa:- (mashairi,Urembo, mkomani,kikosi cha askari,kuimba,uasilishaji,manukato,Sherehe)
Katika kijiji cha    paliishi mschiana jina lake ni Fatma.    
  wake uliwavutia wengi. Alikuwa na kipawa cha kuimba na kukariri
    
  .
Siku moja alialikwa kutumbuiza watu katika    
ya kufuzu kwa  .  
  kwake kuliwazuzua wengi.  
Harufu ya    aliyokuwa amejirashia siku hiyo na korija la  
maua alilolibeba yalipamba mno    wake.