Chagua jibu sahihi miongoni mwa yale uliyopewa katika mabano
i)Chupa imetolewa    meza.(ndani ya, juu ya)
         
ii)Panya ameingia    shimo.(kando ya , ndani ya)
         
iii)Mvuvi amesimama    mto.(miongoni mwa , ukingoni mwa)
         
iv)Swala amelala    simba.(ubavuni mwa, ndani mwa)
         
v)Ndama yuko    mafahali. (kati ya, ndani ya)