nyuma
jaribu tena
hakikisha
Andika jibu sahihi kutoka kwa orodha iliyofuata. (hadi,kabla ya, baada ya,tangu )
i)Mwanafunzi aliadhibiwa kwa kufika
kengele kulia.
ii)Tulikesha
asubuhi.
iii)Si vizuri kuolewa
kumaliza shule.
iv) Mtoto hajalala
asubuhi.