Jaza pengo kwa kutumia kinyume cha kitenzi ulichopewa.
i) Mama nguo kisha     .
         
ii) Asiyeweza hawezi  .
         
iii) Hamali na    mizigo melini.
         
iv) Ali picha ukutani naye Juma  .
         
v) Wanjohi hapa hajulikani    wapi