Taja na kubainisha vielezi vilivyotumika katika kifungu hiki:
Niliamka asubui na mapema. Nikajitayarisha haraka haraka na kuelekea shuleni. Nilipofika, niliingia darasani saa mbili na masomo yakaanza. Mwalimu wa Kiswahili aliingia na kutufunza vizuri. Nilielewa vyema mada aliyoshughulikia na nilijibu maswali kwa ufasaha. Mwalimu alinipongeza mara kwa mara kwa juhudi niliyoonyesha
i)  .
         
ii)  .
         
iii)  .
         
iv)  .
         
v)  .