Jaza mapengo kwa kuvuta na kupachika jibu sahihi kutoka kwa maneno uliyopewa chini ya zoezi:-
i) Niliota jua
ii) Mwanariadha mshindi alibebwa
iii) Nitafika Nairobi
iv) Alianza maisha
v) Yeye hulia
vi) Alipita mtihani
vii) Mwalimu wetu alizaliwa
viii) Nyanya alisoma
ix) Babu amefika
x) Rehema alijikaza
Jana asubuhi
Juu juu
Kesho mchana
Upya
Kila siku
Vizuri
Kitambo
Polepole
Sasa
Kisabuni