Andika sentensi hizi kwa udogo na ukubwa.
1. Uta wa mzee umeletwa na mtoto
         
2. Jino la mvulana yule liling'olewa

3. Ndoo zilizoletwa na mhunzi zimetoboka

4. Mhogo uliyoliwa na mbuzi ulimfurisha tumbo