Fupisha sentensi zifuatazo.
a)Fundi wa mbao alitengeneza meza,viti, makochi na makabati(Maneno matatu)
         
b)Mama alienda sokoni akanunua maembe, machungwa, malimau, matomoko na matikiti.(maneno manne)
c) Mwanafunzi stadi sana alituzwa zawadi kochokocho(maneno matatu)
d) Baba na mama walienda mbuga za wanyama kujionea ndovu,simba na kifaru. (maneno matano)
e) Watoto hawa hawajala tangu juzi asubui. (Maneno matatu)