|
Soma kifungu hiki kisha utachagua muhtasari ambao unafaa zaidi kati ya majibu haya mawili.
HAKI ZA MTOTO Mtoto ana haki chungu nzima ambazo zinapaswa kuzingatiwa na kila raia. Watoto wana haki ya kuishi, kupata mahitaji ya kimsingi kama vile lishe bora, kuvishwa na kuelimishwa na hata mahali safi pa kuishi. Aidha mtoto anastahili kuheshimiwa kwa kutodhulumiwa kwa njia yoyote kama vile kupigwa na kuajiriwa. Ana haki ya kupata usalama wa kutosha ili asipatwe na madhila kama vile kubakwa,kulawitiwa, kushirikisha kwa mapenzi ya lazima au kuuawa. Kuna namna nyingi ambapo haki zao hukiukwa.
|