Tazama video kuhusu namna ya kutayarisha keki.Vuta jibu sahihi na kulibwaga mahali panapofaa:
1. Taja viungo vinne vinavyotumiwa kutayarisha keki
2. Taja hatua ya kwanza ya kutayarisha keki
3. Nini umuhimu wa sukari katika kutayarisha keki
4. Keki hutayarishwa kwa njia gani ya upishi
5. Keki huliwa kama
Unga wa ngano
Maziwa
Sukari
Hamira
Kuchanganya viungo
Kuipa keki ladha tamu
Uokaji
Asusa