|
Soma dondoo lifuatalo kisha jibu maswali uliyopewa:-
.......kwa kweli hakuna kiongozi kama mimi. Mkinichagua mtapata maji katika nyumba zenu, barabara zote zitasakafiwa na dawa zitajaa hospitalini. Nani asiyenijua mimi katika kata hii? Kwa vile mwacha mila ni mtumwa, mimi nitahakikisha utamaduni wetu utadumishwa. Chagua Tumbo Tele, Chagua maendeleo!
|