Soma tamthilia iliyotolewa kisha ujibu maswali
1. Yale uliyosoma yanahusu    
(matumizi ya dawa za kulevya, ulanguzi wa dawa za kulevya)
         
2. Kwa nini vijana hushiriki matumizi ya dawa za kulevya    
( hawayapendi, hushawishiwa na wengine)
         
3. Dawa za kulevya huathiri vipi vijana    
(kudorora kimasoma, kuimarisha masomo)
         
4. Ni maovu yapi mengine huathiri vijana    
(ufuska na ukengeushi,sheria za shule na ulaji rushwa)
5. Vijana wanaweza kuepukana na matumizi ya dawa za kulevya vipi?    
(kuepukana na marafiki wabaya,kuepuka kwenda mjini)