Ni kweli au si kweli?Jibu kwa kubonyeza sanduku sawa.

kijani:jibu sahihi;  nyekundu:umenoa;  bluu:hakikisha; 

i. Vitanza ndimi huimarisha matamshi ya wanajamii.
ii. Vitanza ndimi hukwamiza ubunifu miongoni mwa wanajamii.
iii. Vitanza ndimi havina nafasi katika maisha ya kisasa.
v. Vitanza ndimi huwakanganya watu na kuwafanya wasahau walichodhamiria kusema.