Soma tamthilia iliyotolewa kisha ujibu maswali
1.Mtu akiumia hufanyiwa nini?    
(hupewa huduma ya kwanza,Hupelekwa Hospitalini)
         
2. Huduma ya kwanza hutolewa na nani?    
(Daktari, yeyote aliyefunzwa)
         
3. Kabla ya kutoa huduma ya kwanza,unatakiwa ufanye nini    
(kujali usalama wako kwanza, kujali usalama wa majeruhi)