nyuma
jaribu tena
hakikisha
Jaza pengo kwa kuchagua kivumishi sahihi kutoka kwa vile vilivyowekwa kwenye mabano.
1.Chakula
kimepikwa.(kitamu, tamu)
2.Pahali
pamechafuliwa.(pake, kwangu)
3.Mbwa
ni wa mjomba(hii, huyu)
4.Miti
imeangushwa na upepo.(nyingi, mingi)
5.Mama
amekuja.(safi, msafi)
6.Kalamu
imepotea .(changu, yangu)
7.Vitabu
vimeraruka.(vile, zile)
8.Miguu
ni michafu .(zenu, yenu)